Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata wewe mbu unawakimbiaga na kwenda kule kwenye baridi ambako mbu hawawezi kusavaivu...Mungu ni mwema. Kila la heri, tupo tumekomaa na biashara zetu za supu ya makende ya mbuzi.
Hiyo biashara inalipa nasikia...Halafu sijui kwa nini nimemkumbuka yule mzee mwingine ambaye yeye ya kwake huwa anayaminya timu yake inapocheza ili wasifungwe [emoji16][emoji16][emoji16]