Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Najisikia furaha sana kwa mpendwa huyu kufunguka. Kuna kipindi nilitaka kwenda kumsalimia PM lakini nilipokumbuka tu misimamo yake hapa na heshima yangu mbovu ya misambwanda nikaufyata kwa sababu nliiogopa pengine nitaishia kuyakoga matusi huko....
hahahahahahahah, uzi unaibua vipaji acha tuu.

Unaweza ukaenda tuu PM bro 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…