Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata wewe mbu unawakimbiaga na kwenda kule kwenye baridi ambako mbu hawawezi kusavaivu...Mungu ni mwema. Kila la heri, tupo tumekomaa na biashara zetu za supu ya makende ya mbuzi.
Keshaharibika tayari. Alikuwa anafura akikuta misambwanda hapa leo hii anasifia nguvu ya K-Vant?Hivi huyu ni huyu huyu mpendwa wetu Hawachi? Mimi na log off kabisa, natweka zangu tanga kuelekea ziwani. Huu uzi haiufai! [emoji16][emoji16]
Lala sasa Felister jamani. Shemeji yuko wapi?12:45
hahahahahah, bora hata hujatazama.
Mimi nilijikuta naangalia kwanini ile picha imewekwa pale sasa mda nilioona epicenter it was too late.
Hapa sijui nitaifutaje ile taswira.
Bro, utakatifu ni neno gumu lakini mimi wanasema ni mtulivu.Kujifanya utakatifu tu kumbe hakuna kitu. Si ajabu hata sasa ukimaliza kuchati hapa unaingia kupambana na epicenter...
Kwenda zako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huku kwema ndugu yangu. Ingawa hiyo picha iliyoandamana na salamu sijaiangalia! [emoji16][emoji16]
Ila tuacheni utani, kile kitumbua kimeumuka balaa. Kama kina uvuguvugu na futa la asili la kutosha aisee sipati picha mtu na midevu yako ukiamua kukifakamia...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji16][emoji16][emoji16]... Huyu Mwananfyale mkorofi sana, atakuwa aliruka stage moja katika makuzi yake huyo, anajaribu kulipishia! [emoji16][emoji16]
Keshaharibika tayari. Alikuwa anafura akikuta misambwanda hapa leo hii anasifia nguvu ya K-Vant?
Jamani🙄Na kweli vitimbwi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1196181
Ila tuacheni utani, kile kitumbua kimeumuka balaa. Kama kina uvuguvugu na futa la asili la kutosha aisee sipati picha mtu na midevu yako ukiamua kukifakamia...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ulikuja ukiwa mpole yaani mpaka basi. Comment yako ya kwanza humu ukatuambia kuwa ndo umevuta jiko. Baadaye ukanisifia eti nina busara sana. Kumbe ulikuwa unatesti zali tu. Hovyo kabisa yaani. Hata yule Mpare mwingine ni afadhali sabini mara sabini...Wewe hufai bro !!!Bro, utakatifu ni neno gumu lakini mimi wanasema ni mtulivu.
Sema napenda utani na tukizoeana ni full utani+uchokozi wa hapa na pale.
Ila wewe kwenye maepicenter umebobea kwenye Ritcher scales kubwa sana mithili ya tetemeko la Tsunami.
Kwenda zako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bado uko macho? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Half time 🚶🚶Lala sasa Felister jamani. Shemeji yuko wapi?
Ndiwooo na tena Na sina dalili ya kulala tena 🙊Bado uko macho? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nani alikuwa ameelemewa? Yeye au wewe?Half time [emoji124][emoji124]