Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo ni siku mpya nakwenda kupata matokeo mapya Zaidi ya jana.
Kila siku ni mpya, kila siku inakuja na Baraka zake lakini unapaswa uanze kuziteka Baraka hizo kwa kujitamkia. Jitamkie kwamba unakwenda kupata Baraka za siku hiyo mpya kwenye kila utakachokwenda kufanya.
 
Lol.. Nimekuwa 'bro' tena [emoji1][emoji1][emoji3]
Kumbe wewe ni +ke? Ngoja nibadilishe kumbukumbu katika mafaili yangu hapa. Nilikuwa sijui.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Zile stori unazowekaga hapa huwa unaziandika mwenyewe? Nina nia njema ya kuuliza hivi usinichukulie vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…