Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna aina ya watu ambao wakiwa na mambo yao wanataka uwasikilize, uache mambo yako, uairishe ratiba zako kwasababu tu wao wana jambo lao la muhimu.
SafiiMavitumbua yameumuka vizuri...
Yakiwa bado na uvuguvugu halafu upate na chai ya maziwa nzito uwiii....
View attachment 1196632
Na kweli..Cheusi Mangala
View attachment 1196634