Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,001 Kuna aina ya watu ambao wakiwa na mambo yao wanataka uwasikilize, uache mambo yako, uairishe ratiba zako kwasababu tu wao wana jambo lao la muhimu.
Kuna aina ya watu ambao wakiwa na mambo yao wanataka uwasikilize, uache mambo yako, uairishe ratiba zako kwasababu tu wao wana jambo lao la muhimu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,002 Lakini sasa wao hawajawahi kukusikiliza hata siku moja.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,003 Hawajawahi kuacha mambo yao kwa ajili yako hata siku moja. Hawa waepuke kabisa wanakunyonya nguvu zako.
Hawajawahi kuacha mambo yao kwa ajili yako hata siku moja. Hawa waepuke kabisa wanakunyonya nguvu zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,004 Kuna aina ya watu ambao wanafanana na wewe kila kitu wanasoma kwa bidii wana ndoto kubwa na wanajua wanchokifanya.
Kuna aina ya watu ambao wanafanana na wewe kila kitu wanasoma kwa bidii wana ndoto kubwa na wanajua wanchokifanya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,005 Kuna kitu au vitu wanafanya kila siku ili kufikia ndoto zao. Hawa usiwe nao wengi sana angalau wawili au watatu tu wanakutosha.
Kuna kitu au vitu wanafanya kila siku ili kufikia ndoto zao. Hawa usiwe nao wengi sana angalau wawili au watatu tu wanakutosha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,006 Tengeneza watu wenye mafanikio makubwa kuliko wewe ambao watakuwa ni marafiki zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,007 Hawa sio watakusaidia kifedha tu hapana watakuelekeza hata sehemu ambazo unakwama jinsi gani ya kuvuka.
Hawa sio watakusaidia kifedha tu hapana watakuelekeza hata sehemu ambazo unakwama jinsi gani ya kuvuka.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,008 Hawa wanaweza kukupa msaada wa watu wa kukusaidia sehemu mbalimbali ili utoke kimafanikio.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,009 Ukikosea kwenye kuambatana na watu utapotea kabisa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,010 Usijidanganye eti wewe utambadilisha kazi yako sio kubadilisha watu tuachie sisi tunaohamasisha na kuandika tuwafundishe.
Usijidanganye eti wewe utambadilisha kazi yako sio kubadilisha watu tuachie sisi tunaohamasisha na kuandika tuwafundishe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 3, 2019 #1,020,011 USIISHIE NJIANI “Piga Hatua”
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,012 SHIMBA YA BUYENZE said: Mavitumbua yameumuka vizuri... Yakiwa bado na uvuguvugu halafu upate na chai ya maziwa nzito uwiii.... View attachment 1196632 Click to expand... Safii
SHIMBA YA BUYENZE said: Mavitumbua yameumuka vizuri... Yakiwa bado na uvuguvugu halafu upate na chai ya maziwa nzito uwiii.... View attachment 1196632 Click to expand... Safii
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,013 SHIMBA YA BUYENZE said: Cheusi Mangala View attachment 1196634 Click to expand... Na kweli..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,014 Poleni wakulima wote
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,015 Poleni wafanyakazi wote
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,016 Poleni mlio kwenye daladala..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,017 SHIMBA YA BUYENZE said: View attachment 1196631 Click to expand... Safii
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,018 Poleni wasafiri wote, mfike salama
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,019 Wagonjwa Mungu awaponye
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 3, 2019 #1,020,020 Walezi wa nyumba poleni