Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hata usipofunga vita vipo pale pale.Sawa babe naifunga sasahv chaap
US VS MKOREA.
SHIMBA YA BUYENZE umekwisha jua side yako maana unaenda kupotea vibaya sana
Hata usipofunga vita vipo pale pale.Sawa babe naifunga sasahv chaap
RIPRest In Peace member wa jf![]()
Mijanaume mizinzi hii haituliagi hii. Yaani utafikiri imerogelezewa. Na kinachotafutwa huko nje hakionekani ali mradi shida tupu. Carpa, point blank hapa, alikupataje huyu Dirty Head? Why?Doooh!nilijua umetulia kumbe doooh![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Waraka gani mkuuUtaratibu hatuna ila tuna uharaka tu!
Unatangaza mara ngapi?NATANGAZA VITA
Majukumu best! Ahsante.Nilikuwa sijakuona humu kwa muda kidogo. Karibu tena!
HahhahahaHahahaa! Sawa mgeni pita mpaka ndani ila viatu viache huko nje mlangoni,tukupe juice au chai? Au tukupe juice kwanza wakati unasubiri chai ichemke?
Naenda kubadili vitu kuwa najivu.Kazi kusema tu war war war kama dogo mwenye kiduku kutoka N. KOREA. Kama una ubavu si anzisha basi hiyo vita! Talk is cheap son. Andjul unayemwita si ajabu yupo na Sammyluv sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa simba wanguu[emoji8][emoji8]Relax baby. Viuma hivi visikutishe. Mi nina AK 47...Relax baby...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mods naomba mniwekee kitufe cha like kwenye post zangu tafadhali
Tabia ni kama ngozi hawezi kubadilika sasa hivi anajifanya mgeni kwenye huu uziSammyluv dadangu nakuomba rudia kuhesabu tena pete alizokukabidhi kichwa kichafu,
Nimemuona ana pete zingine sijajua kama kachukua hapo ama la.
Hiyo ilikuwa ya mwisho nakusubiri wewe kwenye viwanja vya vitaUnatangaza mara ngapi?
That's my girl right there [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Sawa babe naifunga sasahv chaap