Dar es Salaam. Hamad Awadhi (28), anayeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua ameliombShirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kumsaidia aondokane na gharama ya kulipa bili yanishatihiyo kila mwezi. kila mwezi. Amesema anatumia Sh50,000 kulipa gharama za umeme kwa wiki na Sh100,000 kwa...