Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Serikali ya awamu ya tano na mfano wa Mtihani wa NECTA
Serikali ya awamu ya tano inanikumbusha enzi zetu tunajiandaa na NECTA. Kabla ya Necta ukipewa test darasani ukafeli unajipoza kwa kujiambia kuwa hii siyo NECTA, NECTA ikija nitakuwa nshakuwa fiti nitapasua tu. Mara siku zinakwenda zinasogea mara NECTA hiyo!, Paper ya Kwanza unakuwa makini...