Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Huyu mbwa mzembe huyu...
View attachment 1197623
Aisee. Nimefikiri 5 star hotel kama ile ya nyanda za juu kusini [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee. Nimefikiri 5 star hotel kama ile ya nyanda za juu kusini [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah. Chatu huwa anatoa harufu fulani hivi ambayo huwa inampumbaza mbwa...sawa tu na mwanaume akiona binti aliyefungasha msambwanda wa kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]Nasikia mbwa akionaga chatu anakua zoba.
Ili iweje kamanda?Kwanini na sisis tusiwachinje wa south
Mbona mizigo mingi sana utafikiri ndege ya kubeba mizigo?
Wanaijeria hao wamejibu...Kwanini na sisis tusiwachinje wa south
Ikiwezekana turudi tu tutawaliwe tena ili lieleweke moja.
Wanachagua maviongozi mala rushwa tangu wapate uhuru hali yao inazidi kuwa mbaya kila muongo. Mifumo karibu yote bado ni ile ile ya kikaburu. Wamebadili ngozi tu ya watawala. Sasa badala ya kuangalia kiini cha tatizo wanakata njia ya mkato na kudhani kuwa wageni ndiyo tatizo....
Bro me sijui😂😂 me nimefanya kuwapitishis ndege yenuMbona mizigo mingi sana utafikiri ndege ya kubeba mizigo?
Mjani 🤒Zao maarufu Duniani.
View attachment 1197748