huku wachezaji wengine walifunguliwa mlango ni Denis Suarez, aliyekuwa akilipwa Pauni 55,000 kwa wiki na kipa Petr Cech, aliyestaafu, ambaye kwa wiki alilipwa Pauni 110,000 na hivyo kufanya Arsenal kutumia dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi mwaka huu kupunguza zaidi ya Pauni 1 milioni kwenye bili yao ya mishahara, huku yenye ikiingiza Pauni 48 milioni kwa mauzo ya wachezaji hao walioondoka.