Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jennifer
FB_IMG_1567626103977.jpeg
 
Vitendo vinavyofanyika SA ni ugaidi na ujambazi.
Lakini Serikali ya nchi hiyo haijachukua hatua za uhakika kuwapa hakikisho la usalana wafrika waliopo huko.
Moto wa Nigeria ukisambaa kwenye nchi nyingine itakua hatari
Binafsi najiuliza ina maana hao wananchi wa SA wana nguvu kupita serikalini yao maana hivi vitendo vya ubaguzi na mauuwaji ni vya mda mrefu.
 
Back
Top Bottom