Bwana Yesu asifiwe kwa wale wenzangu na mimi. Wengine habari zenu? Ninapoelekea kutimiza miongo kadhaa ya kuwepo hapa duniani nimejikuta natafakari maisha yangu tangu pale nilipoanza kupata akili hadi leo hii nimejikuta natabasamu na kumshukuru sana Mungu maana nimekutana na mengi mazuri...
www.jamiiforums.com