myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,721 Poleni walezi wa nyumba
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,722 Wakusoma poleni
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,723 moudgulf said: TarangireView attachment 1198754 Click to expand... Mama na mwana...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,724 moudgulf said: View attachment 1198767 Click to expand... Tanzania yetu...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,725 Poleni mlio kwenye daladala...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,726 Wasafiri mfike salama..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,727 Wagonjwa Mungu awaponye..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,728 15:30
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 5, 2019 #1,020,729 Kuelekea jioni... Mungu atupe afya na uzima
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,730 Tofali hujengwa kwa mkusanyiko wa punje moja moja za mchanga ambazo unaweza kuzibeba mkononi mwako lakini hujenga tofali ambalo huwezi kulibeba kwa mkono mmoja.
Tofali hujengwa kwa mkusanyiko wa punje moja moja za mchanga ambazo unaweza kuzibeba mkononi mwako lakini hujenga tofali ambalo huwezi kulibeba kwa mkono mmoja.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,731 Tofali nalo hujenga ghorofa kubwa sana ambalo binadamu na mali nyingi za thamani hukaa humo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,732 Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga.
Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,733 Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga.
Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,734 Inawezekana ukaidharau punje ndogo ya mchanga lakini bila hiyo ghorofa zuri unalolisifia usingeweza kuliona limesimama.
Inawezekana ukaidharau punje ndogo ya mchanga lakini bila hiyo ghorofa zuri unalolisifia usingeweza kuliona limesimama.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,735 Imekuwa ni kawaida sana kwa watu kudharau vitu vidogo vidogo ambavyo wanatakiwa kuvifanya kwenye maisha yao ili wajenge mafanikio na maisha bora.
Imekuwa ni kawaida sana kwa watu kudharau vitu vidogo vidogo ambavyo wanatakiwa kuvifanya kwenye maisha yao ili wajenge mafanikio na maisha bora.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Sep 5, 2019 #1,020,736
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,737 Imekuwa ni kawaida sana kwa watu kudharau vitu vidogo vidogo ambavyo wanatakiwa kuvifanya kwenye maisha yao ili wajenge mafanikio na maisha bora.
Imekuwa ni kawaida sana kwa watu kudharau vitu vidogo vidogo ambavyo wanatakiwa kuvifanya kwenye maisha yao ili wajenge mafanikio na maisha bora.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Sep 5, 2019 #1,020,738
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 5, 2019 #1,020,739 Imekuwa ni kawaida ya wengi kuona kwamba kazi Fulani haiwezi kunifaa kwasababu mimi hadhi yangu ni hii au ile.
Imekuwa ni kawaida ya wengi kuona kwamba kazi Fulani haiwezi kunifaa kwasababu mimi hadhi yangu ni hii au ile.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Sep 5, 2019 #1,020,740