Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190905_142746.jpeg
 
Teh nimeachwa kwenye mataa, lini nije nichukue drama aisee narudia Good Doctor mara ya tano hii
umegeuka mkulima aliyeiweka kizuizini ndege ya joni joni no papa, kwa kuanzisha kwako vita usiokuwa na uhakika wa kushinda.

hata mimi hiyo lugha pia nipo ovyo kuliko juisi ilioharibika bibieeee
ok kwa msaada wa tovuti, samahani kama itakuwa nimekuchosha kwa hili porojo langu.

formal speech: aina hii ya uzungumzaji inatumika pale unapozungumza na mtu aliyejuu zaidi yako either cheo, umri au pindi unapozungumza na mteja (customer). Huku kwetu si ajabu kumkuta muuza duka anamwambia mteja wake wewe fala unataka mchele kiasi gani?

mara nyingi formal speech wanamalizia neno yo kwa baadhi ya maneno.
kwa mfano an-nyeong-ha-se-yo

how are you?
Eo-tteoh-ke Ji-nae-se-yo?

I am fine저는 잘 지냈어요Jeo-neun Jal Ji-nae-sseo-yo
I am not fine저는 잘 못 지냈어요Jeo-neun Jal Mot Ji-nae-sseo-yo

informal speech: unapozungumza na rafiki, family, uliyemzidi umri au elimu.
Eo-tteoh-ke Ji-nae?

I am fine
나는 잘 지냈어Na-neun Jal Ji-nae-sseo
I am not fine나는 잘 못 지냈어Na-neun Jal Mot Ji-nae-sseo

kwa msaada wa gogoli le translatori from kolomijee
 
Ahsante kwa shule ila ombi langu la pili naona umelipotezea
 
Back
Top Bottom