Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baba yangu alijituma kufanya shughuli mbali mbali za biashara ndogo ndogo ambazo hazikumudu kuendesha vyema familia.
Ile siku ambayo biashara hizi zilishindwa kuizuia fedheha ya kutupiwa virago baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango ndipo rasmi baba yangu
 
Angeweza vipi kupata kazi nyingine ilihali hata shule ya msingi hakumaliza?. Japo ni kazi aliyokuwa akiichukia siku zote katika maisha yake lakini kabla sijayaandika na kuyasema haya sikuweza kujua ni kwa nini aliichukia kazi iliyompa kipato cha kila siku. Baba yangu alinisisitiza katika maisha yangu nisijiingize kwenye uvuvi. Lakini akapuuzia jambo la muhimu na la pekee.
 
jambo ambalo huwenda nisingeweza kukuandikia ujumbe huu huku nikiwa natetemeka kwa baridi, mwili wangu ukiwa na vidonda vibichi, mguu wangu wa kushoto ukiwa umeondolewa nimebaki na mguu mmoja huku mikono yangu ikizungushiwa bandeji. Jambo la muhimu na la pekee alilolipuuzia baba yangu ni kunipeleka shule, tafadhali hata wewe unayenisikiliza nakuomba msimamie mwanao aikumbatie elimu katika maisha yake
 
Elimu pekee niliyoachiwa na baba yangu ni ya uvuvi katika ziwa Victoria, baba yangu hakunifundisha kazi ile ila ugumu wa maisha ulinipelekea kuirithi kazi aliyokuwa akiitumikia baba yangu.
Kazi pekee inayomfanya mvuvi asionekane na thamani mbele ya jamii.
 
Thamani pekee ya mvuvi ni pale anapokuwa na Samaki baada ya kutoka kuvua, lakini baada ya mauzo waliowengi katika jamii hutuchukulia sisi kama shombo inayotoa harufu mbaya mbele ya mtu nadhifu. Ewe kaka na dada pamoja na wewe unaeisikiliza sauti hii inayotoka kwa shida huku koromeo langu likiwa limepambana vya kutosha kuyatapika maji yaliyokuwa tumboni. Sauti inayotoka kwa taabu huku maumivu ya uchungu yakisafiri kupitia sehemu za ubavuni kwangu pamoja na mgongo.
 
Kila nikiikumbuka kauli ya mwisho ya baba yangu kabla ya uhai kumtoka nazidi kuumia. Ninaumia kwa kuwa niliipuuzia kauli ile labda huwenda ningeizingatia leo hii nisingekuwa hapa kwenye hili jumba kubwa linalotoa harufu iliyochanganyikana na madawa mbali mbali, pembeni kwangu ukiwepo mwili wa mtu usioweza kuongea wala kusimama huku pua yake ikiwa imechoka kuvuta hewa.
 
Jojo
20190905_115506.jpeg
 
Kila nikiikumbuka kauli ya mwisho ya baba yangu kabla ya uhai kumtoka nazidi kuumia. Ninaumia kwa kuwa niliipuuzia kauli ile labda huwenda ningeizingatia leo hii nisingekuwa hapa kwenye hili jumba kubwa linalotoa harufu iliyochanganyikana na madawa mbali mbali, pembeni kwangu ukiwepo mwili wa mtu usioweza kuongea wala kusimama huku pua yake ikiwa imechoka kuvuta hewa.
Aisee
 
Murder- Haya ni mauaji ya kijinga jinga tu. Mtu anapiga mkewe hadi anaua. Ubakaji then anakuua. Mimi nikija kwako, kama hutaki kunilipa, nikakupa rungu moja la kichwa na kusepa zangu, nakuwa nimefanya nimekumurder.
Mara nyingi hufanywa na watu wenye mtindio wa ubongo, vichaa, wenye stress japo si mara zote kuwa ni watu hawa ndo wanafanya.
😂😂😂dah!
 
Back
Top Bottom