Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Butcher - Haya ni mauaji ya kuchinja chinja tu. Damu zinamwagika kwa kutumia panga, kisu na kadharika.
LABDA UYO MANZI AWE MREMBO KULIKO KHANTWE AHJUMMA FROM KOLOMIJEESuicide - Hii hutokea mtu anapojiua mwenyewe. Mshikaji wangu unatoswa na manzi, unaamua kuchukua kitanzi na kujinyonga. Kitendo kinaitwa Suicide.
LABDA UYO MANZI AWE MREMBO KULIKO KHANTWE AHJUMMA FROM KOLOMIJEE
SawasawaAssassination - Haya ni mauaji ambayo yanafanywa na watu maalumu na humlenga mtu maalum kwa ajili ya kifo. Mfano: John Kennedy kile kitendo ni Assassination.
Duh!Crucify.....
hiki unaambiwa ni mateso matupu yaani unaingia jehanammu ilhali bado uko duniani.Hapa unakula nyundo ya ugoko,sikio litanyofolewa,vidole vitakatwa vipande vipande..bado unapepesa macho unanyofolewa kope hujapumua una rungu la mgongo😀...sinano ya jino yaani kiufupi ni kifo cha mateso.
Mwandishi wa Saudia alikatwakatwa....Butcher - Haya ni mauaji ya kuchinja chinja tu. Damu zinamwagika kwa kutumia panga, kisu na kadharika.
nimeanza kujifunza kiingilishi kuanzia leo, sina shida ya kujua past tense wala kwenzi shida yangu ni kunywa maneno then niyatapike kibabe kama PLO lumumba 🙁🙁🙁
hata mbuyu ulianza na mbegu
discombobulated = confused
examples:
- "he is looking a little pained and discombobulated"
- She became totally discombobulated when giving her presentation in front of the audience.”
nasikia walimfanya kitoweo cha mbwaMwandishi wa Saudia alikatwakatwa....
ngoja nitafute kamusi la mfalme James wa england baadae nitarudiI am ecstatically delighted and disproportionately bewildered with bizzare gratification
for the dispensation of such a tendering and mesmerizing information in which prestidigitation of the concurrent and subsequent matter is thoroughly demonstrated through the nuances alluding to literal and metaphorical context thank you for informing us.
kabisa mkuu...kuna binadamu wakianza mambo yao shetani anakaa kando kula pindiMwandishi wa Saudia alikatwakatwa....