moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin
Amani na upendo viwe nasi
Amani na upendo viwe nasi
Sijambo,habari yako?Hujambo mdau
Not only likes, kuna vingi vya kujifunza humu ndani then kuna amani ya kutosha na upendo tele 😍😍Uzi una views 12M?? Comments 1M?? Kweli watu wanapenda "Likes"..
Sijambo,habari yako?
Ahsante Balozi. Uwe na siku njema.Not only likes, kuna vingi vya kujifunza humu ndani then kuna amani ya kutosha na upendo tele 😍😍
Kwako pia Kgy.Nawatakia siku njema [emoji7][emoji7]View attachment 1198392
Ni kweli, kama mimi huku hata sifuati likes...nafuata company ya marafikiNot only likes, kuna vingi vya kujifunza humu ndani then kuna amani ya kutosha na upendo tele [emoji7][emoji7]
Picha nzuri sana.
Hey Khantwe,Ni kweli, kama mimi huku hata sifuati likes...nafuata company ya marafiki
Hi capitalpoolHey Khantwe,
Unaendeleaje mpendwa,