Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Murder- Haya ni mauaji ya kijinga jinga tu. Mtu anapiga mkewe hadi anaua. Ubakaji then anakuua. Mimi nikija kwako, kama hutaki kunilipa, nikakupa rungu moja la kichwa na kusepa zangu, nakuwa nimefanya nimekumurder.
Mara nyingi hufanywa na watu wenye mtindio wa ubongo, vichaa, wenye stress japo si mara zote kuwa ni watu hawa ndo wanafanya.
 
Massacre - Haya ni mauaji ya mkupuo. Kwamba wanaolengwa kufa ni wengi na hufa kwa wakati mmoja na kwa tendo moja. Mfano: Yule Mchungaji sijui Kibwetele, aliwafungia waumini kwenye kanisa kisha akawachoma moto. Pia tukio la Rwanda miaka ile ya 90 hadi 95.
 
Back
Top Bottom