Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji maelezo yako ni mazito ila nimeshindwa kujizuia kucheka kwa misisitizo ulivyoikandamizia.
Kwa maana nyingine ile ya kupima kidizaini ndo mambo ya "finga" kunako si ndio?!! Haya mambo tutakuja kutoana mishipa na mpimaji kama atagoma kupimana...
 
Ngumu kumeza..
Lakini maisha lazima yapitie njia zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…