myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
08:31
Wee mzee wa pwani unaongea nini ndugu yangu, hivi unayajua maumivu ya kuchapiwa na mabaharia? Vipi mpimaji nae kama ni baharia? Akaamua kulipekecha dole lake kunako(ombea usikutwe na ugonjwa) bila huruma halafu akuulize "unajisikiaje mzee?" Bila kuwaza akajibiwa "najisikia vizuri kabisa" unadhani hata litumbukiza lidole tena ukawa mchezo wa kujirudia rudia?Hakuna cha kuwauza muhenga ni kupima tu, kama kuna tatizo unalishughulikua mapema ili kuongeza siku za kuishi.
[emoji23][emoji23]Tommy kivuruge kweli, urafiki utaisha sasaHahah nmecheka baada ya kuiona hii...
Wait kwanza sasa hv nipo busy na huyu Tommy, sio kwa kuniulia Angela Valdez wangu hahah
Mm sijambo TH,, habari ya uzima huko ulipo?
Aku....mimi chaupole kabisa [emoji3][emoji3]Kumbe na wewe kachokozi! [emoji16][emoji16]
Wee mzee wa pwani unaongea nini ndugu yangu, hivi unayajua maumivu ya kuchapiwa na mabaharia? Vipi mpimaji nae kama ni baharia? Akaamua kulipekecha dole lake kunako(ombea usikutwe na ugonjwa) bila huruma halafu akuulize "unajisikiaje mzee?" Bila kuwaza akajibiwa "najisikia vizuri kabisa" unadhani hata litumbukiza lidole tena ukawa mchezo wa kujirudia rudia?
Itafutwe njia nyingine ya upimaji.
Uzuri wake shemeji yangu kanipa ushauri wa maana, natakiwa kukamua majipu mara 21 kwa mwezi, hiyo nguvu ya kuwahudumia hao wagonjwa ninazo sasa hata milele. Amen.
Natangaza nikiwa na akili timamu, huko kupima siendi, sisiemu mbele kwa mbeleee.... Pipoooz [emoji111][emoji111][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahah fundi maiko ni nomaFundi Maiko acha uzulumati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1199482
Tommy akili yake anaijua mwenyewe, hasa akishatumia mambo yake [emoji16][emoji16][emoji16]..[emoji23][emoji23]Tommy kivuruge kweli, urafiki utaisha sasa
Naendlea vyema kabisa ninge, Uono upoo[emoji1]?
Fundi Maiko acha uzulumati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1199482
Shwaini zako,hapekechwi mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhenga usikubali kufa kibudu kisa kupekechwa na dolekati[emoji1787][emoji1787] Heri kupima ili tupate matibabu kwa wakati huwenda tukaongeza siku za kuishi