Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
👍 👍Mweee!!! Maisha ya hapa duniani yana gharama kubwa na za ajabu sana.
Ahsante kwa darasa ulilo tupa ndugu yangu. Hizi afya zetu bila kuzipitia pitia kwenye uangalizi tutaishia kufa bila hata taarifa.
Kulijua tatizo mapema inasaidia sana kukabiliana nalo au kulipokea na kuacha maisha mengine yaendelee kama yalivyo pangwa.
Sijutii kuwepo kwenye uzi huu maana elimu niipatayo humu ni zaidi ya ile ya chuo kikuu.
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120]
Duh!
Asante Ninge,uwe na ijumaa njemaKazi kwako THView attachment 1199965
Shukrani TH... Na kwako pia..Asante Ninge,uwe na ijumaa njema