Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana kamanda. Strokes zimezidi tena vijana wadogo wengine 35 wanaondoka na stroke. Mavyakula haya tunayokula yanarundika lehemu kwenye mishipa ya damu siku ya siku kakipande kadogo tu kanameguka na kwenda kukwama kwenye vi capillaries vya kwenye ubongo huko tayari stroke. Kumbe mtu kama angefanya physical exam akagundua kuwa lehemu imezidi akabadili mfumo wa ulaji, akafanya vimazoezi na hata kuanza kutumia statins angeweza kabisa kuzuia shambulio hilo.Kwa mara ya mwisho nilifanya 3yrs ago, badaye mwaka huu nitafanya huo mchakato Mungu akipenda [emoji120][emoji120]
Akiambiwa aitupe hiyo bunduki apewe mzigo yaani ataitupa fasta ajabu. Misambwanda nyie acheni tu ipewe heshima yake [emoji16][emoji16][emoji16]Ati huyu ni askari polisi au mwanajeshi?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1200091
Kama alikuwa na makosa basi unaigeuza hiyo kuwa unique quality yako kwenye interview. Kwamba uko ngangari ajabu na kamwe utakuwa tayari kulinda maslahi ya kampuni kwa gharama yo yote ile. Kazi unapata kirahisi [emoji16][emoji16][emoji16]Pale kiburi kinakutokea puaniView attachment 1200092
Hawa wote mamilionea hawana shida hawa. Ngeleja ana mzinga wa hoteli hapo Mwanza hata akiacha ubunge leo hana shida. Alivuta mkwanja mrefu sana kwenye ile mikataba mibovu ya madini..."Mtoto ni mtoto kwa baba hakuwi"View attachment 1200094
Asante sana kamanda. Strokes zimezidi tena vijana wadogo wengine 35 wanaondoka na stroke. Mavyakula haya tunayokula yanarundika lehemu kwenye mishipa ya damu siku ya siku kakipande kadogo tu kanameguka na kwenda kukwama kwenye vi capillaries vya kwenye ubongo huko tayari stroke. Kumbe mtu kama angeafanya physical akagundua kuwa lehemu imezidi akabadili mfumo wa ulaji, akafanya vimazoezi na hata kuanza kutumia statins angeweza kabisa kuzuia shambulio hilo.
Miaka mitatu mingi sana. Jaribu kuwa unafanya kila mwaka kamanda. Mungu Atulinde [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Akiambiwa aitupe hiyo bunduki apewe mzigo yaani ataitupa fasta ajabu. Misambwanda nyie acheni tu ipewe heshima yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu sis unajua miye naonaga wivu nikiiona hii salamu kwa wengine halafu miye sijaipata huu sijui mwezi wa tatu[emoji24][emoji24][emoji24]Anko shikamoo [emoji4][emoji4]
Mti wenye mawe ndo hupigwa mawe. Milioni 15 -20 tena ndo wameanza kuamka sasa. Kazi badoo...Wasukuma wanaonewa sana...[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1199275View attachment 1199277
Muktadha (context) utatupa jibu kamanda
Halafu walikuja kusema eti hayafai kwa matumizi ya binadamu. Hii dunia we acha tu !!!
Snoop leo umepiga kilichotoka Jamaica moja kwa moja nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]View attachment 1199267