Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mara ya mwisho nilifanya 3yrs ago, badaye mwaka huu nitafanya huo mchakato Mungu akipenda [emoji120][emoji120]
Asante sana kamanda. Strokes zimezidi tena vijana wadogo wengine 35 wanaondoka na stroke. Mavyakula haya tunayokula yanarundika lehemu kwenye mishipa ya damu siku ya siku kakipande kadogo tu kanameguka na kwenda kukwama kwenye vi capillaries vya kwenye ubongo huko tayari stroke. Kumbe mtu kama angefanya physical exam akagundua kuwa lehemu imezidi akabadili mfumo wa ulaji, akafanya vimazoezi na hata kuanza kutumia statins angeweza kabisa kuzuia shambulio hilo.

Miaka mitatu mingi sana. Jaribu kuwa unafanya kila mwaka kamanda. Mungu Atulinde [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Pale kiburi kinakutokea puaniView attachment 1200092
Kama alikuwa na makosa basi unaigeuza hiyo kuwa unique quality yako kwenye interview. Kwamba uko ngangari ajabu na kamwe utakuwa tayari kulinda maslahi ya kampuni kwa gharama yo yote ile. Kazi unapata kirahisi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amin,
Mwaka uliopita nilimpoteza rafiki wa karibu kupitia magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza.
Ameondoka tungali tumamuhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…