Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahaha atakuwa dikteta maana hadi nikawa najiuliza hao wajumbe mbona siwaoniChama kina memba mmoja. Huyo huyo ndo mwenyekiti. Ndo katibu. Ndo dereva. Gari la ofisi lenyewe limesheheni maua. Ofisini huko ndo usiseme sasa. Maboksi ya viatu vya mchuchumio na makreti ya mvinyo yamerundikana mpaka kwenye dari. Magauni ya kila aina. Hakuna kitu hapo sis [emoji16][emoji16][emoji16]
Kapicha pls,,, kwan Wasuku wanapigaje goti [emoji23][emoji23]Jamani Kaka yangu mwema...Shikamoo (hapa nimepiga goti kisukuma [emoji3][emoji3])
Kako peke yake. Hakuna cha mjumbe wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha atakuwa dikteta maana hadi nikawa najiuliza hao wajumbe mbona siwaoni
Umeanza. Huko Kahama huwaoni?Kapicha pls,,, kwan Wasuku wanapigaje goti [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Umeanza. Huko Kahama huwaoni?
Kashindwe na katokomee [emoji3][emoji3]....maana kakilegea katapatamo nguvu tena!
Wewe Mwenyekiti naendelea kuuchunguza huo uenyekiti wako [emoji3][emoji3]
Chama kina memba mmoja. Huyo huyo ndo mwenyekiti. Ndo katibu. Ndo dereva. Gari la ofisi lenyewe limesheheni maua. Ofisini huko ndo usiseme sasa. Maboksi ya viatu vya mchuchumio na makreti ya mvinyo yamerundikana mpaka kwenye dari. Magauni ya kila aina. Hakuna kitu hapo sis [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1200182