Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbwembwe za fundi maiko
FB_IMG_1567785623431.jpeg
 
Hahaa, wewe unamnanga Mwenyekiti wa Chama cha WAGUMU bana. The one and only, usimsikikize sana yule Bro/Uncle wako bana; simtaji jina hapa. Ana fitna yule, anautaka Uenyekiti wangu! [emoji16][emoji16][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603]
Wewe Mwenyekiti naendelea kuuchunguza huo uenyekiti wako [emoji3][emoji3]
 
Wewe Mwenyekiti naendelea kuuchunguza huo uenyekiti wako [emoji3][emoji3]
Chama kina memba mmoja. Huyo huyo ndo mwenyekiti. Ndo katibu. Ndo dereva. Gari la ofisi lenyewe limesheheni maua. Ofisini huko ndo usiseme sasa. Maboksi ya viatu vya mchuchumio na makreti ya mvinyo yamerundikana mpaka kwenye dari. Magauni ya kila aina. Hakuna kitu hapo sis [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom