andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Na udandiaji wake wa treni hachelewi kuharibu ajira za watu [emoji3][emoji3][emoji3]Hajui kama riziki ya mtu haizuiwi/haipotei; inacheleweshwa tu. [emoji16][emoji16]
Haya mambo ya kuchomeka shuka upande wa pili haya!!...Lakini watu wengine huwa na udaku extreme.
Unaishi na dem yako
Ukitoka Tu Nje Na Jasho Linakumwagika Utasikia "mmmmh Atamkondesha Mtoto wa Watu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Sijui Uwa Wanahisi Nini Wenyewe!!.
Safii
Na udandiaji wake wa treni hachelewi kuharibu ajira za watu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu atupe afya na uzima
Mungu atupe usiku mwema
Mungu atupe afya na uzima
Kila mtu ana umuhimu wake
Huyu mzee anazeeka vibaya [emoji3][emoji3][emoji3]Riziki kitako yakhe! Subiri atakuja na kibwagizo hapa hatari! Poti bana. [emoji16][emoji16][emoji16]
Nipooo
Marahabaa poti
My Ankoo is back...Am fine coco,mzima?