Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Riziki kitako yakhe! Subiri atakuja na kibwagizo hapa hatari! Poti bana. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sitii kibwagizo cho chote poti. Mniwache na anko wako [emoji16][emoji16][emoji16]
3f383d0c-532e-4dd7-96fa-ad203e6813e7.gif
 
Yap sasa huyo kupiga sarakasi hivyo ndiyo nini kama si bangi aliyotafuna?
Huyu anajilinda. Akitishwa tu anajibiringisha. Wanasema gamba lake hilo hata risasi ya vipisito vya kishikaji haipiti. Predators wake huwa lazima wavizie kichwa japo wajanja huwa wanatulia hapo hapo kimyaa hata bila kupumua ikibidi ili akijichanganya tu akachomoza kichwa wanakidaka.
 
Back
Top Bottom