Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sitii kibwagizo cho chote poti. Mniwache na anko wako [emoji16][emoji16][emoji16]Riziki kitako yakhe! Subiri atakuja na kibwagizo hapa hatari! Poti bana. [emoji16][emoji16][emoji16]
Hili dege lilikuwa likiinuka tu likakaa sawa tayari lishakatiza Atlantic. Nauli yake sasa. [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sitii kibwagizo cho chote poti. Mniwache na Mwakaleli wako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1200322
Sitii kibwagizo cho chote poti. Mniwache na Mwakaleli wako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1200322
Iginoa listi inaniita ama? Na kudandia treni siachi ng'o hata iweje [emoji23][emoji23][emoji23]Na udandiaji wake wa treni hachelewi kuharibu ajira za watu [emoji3][emoji3][emoji3]
Bangi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bangi mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa Liver na miKvant yake sijui kapotelea wapi [emoji16][emoji16]
Bangi?
Mzee wa Liver na miKvant yake sijui kapotelea wapi [emoji16][emoji16]
Sitii kibwagizo cho chote poti. Mniwache na anko wako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1200322
Huyu anajilinda. Akitishwa tu anajibiringisha. Wanasema gamba lake hilo hata risasi ya vipisito vya kishikaji haipiti. Predators wake huwa lazima wavizie kichwa japo wajanja huwa wanatulia hapo hapo kimyaa hata bila kupumua ikibidi ili akijichanganya tu akachomoza kichwa wanakidaka.Yap sasa huyo kupiga sarakasi hivyo ndiyo nini kama si bangi aliyotafuna?
Mie niko poa kabisa huku nilipo...Namshukuru Mungu.Nko sawa, wasiwasi wangu wewe ulie potea humu.
Mie niko poa kabisa huku nilipo...Namshukuru Mungu.
MB[emoji125][emoji125]Ndio nini kuadimika hivyo kama mizizi ya jiwe? [emoji16][emoji16]