Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 570
- 663
Safi Moudgulf,naendelea vizuri.Walyekum salaam.
Habari yako..vipi maumivu ya jino
Kwa kiingereza wanaita wisdom tooth.Jino la mwisho dear, Kiswahili wanaita "gego" sijui nimepatia.
Milele Amina 🙏Bwana Yesu asifiwe
Coco kafungiwa PMcoco
Historia ya neno Msela na Baharia
Miaka ya nyuma watu walikuwa wakijiita masela kutokana na kuwaiga watu waliokuwa wamepanda meli na kwenda ulaya. Sailor "msela" ni mfanyakazi wa meli ambaye sio ofisa au baharia wa kawaida. Huyu ni mtu ambaye alikuwa amesafiri sana na meli kipindi hicho. Ambapo walikuwa wakirudi Tanzania...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23]Coco kafungiwa PM
Ingekuwa zamani tunacheka na kutaniana kwa uhuru humu ningedadavua kiprofesali kiSigmund Freud...lakini sasa mh...Coco kafungiwa PM
Isije ikawa ni wewe sis [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23]
Nzuri mkuuZa siku tele?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23], una maekisipiriensi.Unamwambia tu aje na mtoto. Mtoto si ataangalia katuni wakati yeye unamshughulikia?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwa nini sadaka isipokelewe?Hata upande wa sadaka ukishinda sadaka yako haitapokelewa bora ukanunue to condom kiroho safi
[emoji85][emoji85][emoji85]. Enzi zangu za ubaharia. Wakati ule nilikuwa na kifua halafu...kitu kidogo tu nshasepa. Lakini sasa mhhhh !!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23], una maekisipiriensi.
Bado analiwekea karafuu...Kwa kiingereza wanaita wisdom tooth.
Lilinikondesha ilo jino ndani ya week mbili tu.
X ray inasemaje au hata kwa dentist hujaenda?
Acha uchokozi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwakaleli moja hii [emoji16][emoji16][emoji16]TRM mko wapiView attachment 1201444
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Salama bro, kumekucha tena.
Siku njema huko.