Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha nimedandia tren kama weweNinge njoo uone huku. Na Poti wahi haraka na toroli la maua kabla hakajasepa...
[emoji3591][emoji3591] Kamekuja. Hali ishachafuka tayari dah !!!
Umejuaje kama kalikuwa kanaomba picha ya hivi? Pengine kalikuwa kanaomba picha za akina Manengelo na Demiss kwa vile hakakuwepo wakati ule betri zinachomolewa sasa wewe na urolo modo wako unakimbilia picha za TRM. Hovyo kabisa. Aaaaaaaarghhh [emoji36][emoji36][emoji36]
Koromije moja. Picha zipi shost kuja kwa bashite basi
[emoji23][emoji23][emoji23]relax the donNinge njoo uone huku. Na Poti wahi haraka na toroli la maua kabla hakajasepa...
[emoji3591][emoji3591] Kamekuja. Hali ishachafuka tayari dah !!!
Umejuaje kama kalikuwa kanaomba picha ya hivi? Pengine kalikuwa kanaomba picha za akina Manengelo na Demiss kwa vile hakakuwepo wakati ule betri zinachomolewa sasa wewe na urolo modo wako unakimbilia picha za TRM. Hovyo kabisa. Aaaaaaaarghhh [emoji36][emoji36][emoji36]
Nimesikia kuna betri zilichomolewa humu.Koromije moja. Picha zipi shost kuja kwa bashite basi
Mzima kabisa,za kupotea?
Kipindi zinachomolewa nilikua ban ya wiki nami nilikosa uhondo ujueNimesikia kuna betri zilichomolewa humu.
Kama unazo nambie nikuje[emoji125][emoji125][emoji125]
Yeah? Karibu jukwaani baharia![emoji2][emoji2]View attachment 1201933
Huyu mlamba viatu naye anahangaikaga dah !!!
Mie mzima kabisa namshukuru Mungu.
Hizo tetesi nami nimeziona[emoji23][emoji23] kwakweli