Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniiii...

Mimi sijambo shemeji yangu kipenzi. Unaendeleaje? Hekaheka zako zitaisha lini ili uweze kujumuika nasi humu regyulale? Halafu kuna tetesi humu eti unalea. Ni kweli?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mie mzima kabisa namshukuru Mungu.
Hizo tetesi nami nimeziona[emoji23][emoji23] kwakweli
 
69737857_784037982010682_8511966323728431424_n.jpg

Numbisa naomba picha puliiizi
 
Back
Top Bottom