Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1567970382919.jpeg
 
Kama wewe ni Mhehe kama jina lako linavyoashiria basi yes ni mtani wetu. Sisi halafu tumeenea nchi nzima na tunataniwa na kila mtu. Jisikie huru kamanda. Humu kuna timu kabisa ya watu ambayo lengo lake kuu ni kutesa Wasukuma. Inaitwa Timu Roho Mbaya (TRM). Omba uanachama huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Khe! Ndio nimejua sahivi
TRM 😂😂
 
Back
Top Bottom