Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Nashauri aanzishe live chat, kama ilivyokuwaga kwenye marafiki.com, i think wale wahenga wanajua, kuwe na chat roomWeka ushauri wako hapa utamfikia
Hahahha nilikuwa nipo hewani ndio maana nikaibahatisha πwe nae hupitwi π ni mchapio huo si unaona nimefuta
aisee nakubaliHahahha nilikuwa nipo hewani ndio maana nikaibahatisha π
Khe! Ndio nimejua sahiviKama wewe ni Mhehe kama jina lako linavyoashiria basi yes ni mtani wetu. Sisi halafu tumeenea nchi nzima na tunataniwa na kila mtu. Jisikie huru kamanda. Humu kuna timu kabisa ya watu ambayo lengo lake kuu ni kutesa Wasukuma. Inaitwa Timu Roho Mbaya (TRM). Omba uanachama huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Oh! Afadhali ila nyie mpo wachache na sie tusio na nyama tupo wengiAaah wapi, tusiopenda minyamanyama pia tupo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
ππππ unamlisha mwenzio tango poriKafungasha balaa huyo asikudanganye. Namfahamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]