Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumepangwa group moja na Senegal na Ghana. Tutachomoa?

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2020 QATAR

*Group A*
Morocco
DR Congo
Togo
Mali

*Group B*
Nigeria
Bukinafaso
Zambia
Angola

*Group C*
Senegal
Tunisia
Ghana
Tanzania

*Group D*
Eqypt
Cameron
SouthAfrica
Uganda

*TUMEMKOSEA NINI MUNGU SISI WATANZANIA?[emoji1241][emoji1241][emoji2815][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
(ubora wa kaseja utathibitishwa hapo)[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tunisia pia sio warahisi.
 
Siyo kwangu lakini.

We hujasikia watu wakijiua sababu ya mapenzi kwani? Shogako wa juzi/jana si afadhali tu angeumwa na jino kama mpendwa Hawachi ikaeleweka kuliko maumivu yale aliyokuwa nayo?
Uzi wake na comments zinaonesha amepitia maumivu lakini yale maumivu ni ya kujitakia.
Nahisi hivyo coz me sipogo sana kwa hicho chama cha mapenzi ya dizain ile.
Ila jino SYB usiombe πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa Mimi aisee maumivu ya kuachwa hayawezi fikia yale maumivu ya jino
 
Au unakimbilia pipi kama anavyosemaga jirani? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

#Usikuwapipi
#Usikuwakupeana
Haha usiku wa raha.
Nilienda kulala ila kabla ya kulala nikapitia WhatsApp kidogo, huko nikakutana na clip hiyo ikakata usingizi wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#hiviunakitambiweweaukipochakufutiasimukile
 
Au unakimbilia pipi kama anavyosemaga jirani? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

#Usikuwapipi
#Usikuwakupeana
Haha usiku wa raha.
Nilienda kulala ila kabla ya kulala nikapitia WhatsApp kidogo, huko nikakutana na clip hiyo ikakata usingizi wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#hiviunakitambiweweaukipochakufutiasimukile
 
Haha usiku wa raha.
Nilienda kulala ila kabla ya kulala nikapitia WhatsApp kidogo, huko nikakutana na clip hiyo ikakata usingizi wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#hiviunakitambiweweaukipochakufutiasimukile
Wanashauri sana kabla ya kulala uzime gadgets kwa dk 30 kabla hujaingia kitandani. Unaingia kitandani halafu unaingia Whatsapp tena? Umekutana na clip ya kitambi cha kutisha ama?

#Kitambibilapesaniugonjwa
#Mimisinapesa
 
Wanashauri sana kabla ya kulala uzime gadgets kwa dk 30 kabla hujaingia kitandani. Unaingia kitandani halafu unaingia Whatsapp tena? Umekutana na clip ya kutisha ama?

#Kitambibilapesaniugonjwa
#Hatachakufutiasimukimeisha

Mambo ya kitambi hayoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Your browser is not able to display this video.

Wanashauri tuzime nini? Uongo mbaya me naingiaga kitandani na simu
 
Mambo ya kitambi hayoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


View attachment 1203002
Wanashauri tuzime nini? Uongo mbaya me naingiaga kitandani na simu
Kuzima simu, TV na gadgets zote. 30 minutes kabla ya kwenda kulala. Ubongo unajiandaa. Kitandani waweza kujisomea somea tu basi....

Siku hizi watu wengi hawapati usingizi wa kutosha kutokana na hizi gadgets na WHO wanafikiri kuwa hii itasababisha magonjwa mengi kuongezeka na hasa saratani kwa sababu ukosefu wa usingizi unadumaza sana immune system. Jitahidi upate angalau masaa 7 kila siku japo optimal ni masaa 8
 
Nitalifanyia kazi hili
Asante kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…