Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Real Madrid -mara 11

Real Madrid ni klabu yenye mafanikio zaidi Ulaya na wachezaji wake wameshinda Ballon d’Or mara 11 tofauti. Mchezaji wa kwanza kushinda tuzo hiuyo alikuwa Alfredo di Stefano mwaka 1957 na akashinda tena mwaka 1959, wakati Raymond Kopa aliibeba tuzo hiyo mwaka 1958 alipokuwa akiitumia Los Blancos.
 
Baada ya hapo ikasubiri kwa miaka 41 kushinda tena, wakati Luis Figo alipojibebea mwaka 2000, kisha Mbrazili Ronaldo mwaka 2002. Beki Mtaliano, Fabio Cannavaro alibeba mwaka 2006 na baada ya hapo, Cristiano Ronaldo akatawala, akibeba tuzo hiyo mara tano tofauti akiwa na Madrid (moja aliitwaa na Manchester United), kabla ya kuja kukamilisha idadi kiungo Luka Modric.
 
Eriksen atakuwa amebakiza miezi sita tu ifikapo Januari mwakani na dau lake litakuwa chini na Manchester United inaamini kwamba Tottenham inaweza kulazimika kumuuza staa huyo wa kimataifa wa Denmark kwa ajili ya kuhofia asiondoke bure.
 
Hapa umeniongezea kitu kamanda
Utafiti mpya unadai kuwa inawezekana ukosefu wa usingizi ndiyo chanzo kikuu cha kansa za aina mbalimbali. Wanasema ukilala chini ya masaa matano immune system yako inapunguza ufanisi wake wa kufanya kazi kwa asilimia 70%. Na tayari katika nchi nyingi hasa huko kwa wenzetu watu wanaofanya kazi za usiku wakiwemo walinzi, wauguzi, madaktari na wengineo wanatambuliwa kuwa wanafanya kazi hatarishi kwa afya na wanalipwa posho maalumu pamoja na kuhimizwa sana kulala kila wanapopata nafasi.
 
Fundi maiko ni Noma
FB_IMG_1568052851853.jpeg
 
Hapa umeniongezea kitu kamanda
Ndiyo uzuri wa uzi wetu huu kamanda. Kila mtu ana umuhimu wake kama anavyosemaga jirani yetu mpendwa.

Ndiyo. Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa lakini sababu zake hazijulikani. Kuna wanaosema pengine ni mabadiliko ya mfumo wetu wa maisha na lishe. Kubweteka. Na kula haya mavyakula yaliyosindikwa.

Utafiti huu mpya unadai kwamba pengine tatizo linaweza kuwa ni ishu ya usingizi. Mpaka sasa mwili wa binadamu uko set kupata angalau masaa manane ya usingizi. Ndivyo ilivyokuwa huko kwa mababu zetu mapangoni. Bila umeme. Bila smart phones. Bila Tv na makorokocho mengine.

Inavyoonekana mabadiliko ya kitekinolojia yamefanyika kwa kasi sana kiasi kwamba evolution yetu haijaadapt sawasawa. Mwili wetu unatutaka tulale masaa manane kila siku. Na tusipopata haya masaa manane immune system yetu inadorora sana hasa kwa wahenga. Matokeo yake ni mfumuko wa magonjwa ya kila aina na hasa saratani ambayo udhibiti wake unategemea sana immune system inayofanya kazi vizuri na kuzima mutations zote zisizo na kichwa wala miguu.

Tulaleni ndugu zangu. Yawezekana ndiyo tukawa tunajikinga na masaibu kibao...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom