moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
21:00
Tunisia pia sio warahisi.
Haha usiku wa raha.
Nilienda kulala ila kabla ya kulala nikapitia WhatsApp kidogo, huko nikakutana na clip hiyo ikakata usingizi wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#hiviunakitambiweweaukipochakufutiasimukile
Mambo ya kitambi hayoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1203002
Wanashauri tuzime nini? Uongo mbaya me naingiaga kitandani na simu
Utafiti mpya unadai kuwa inawezekana ukosefu wa usingizi ndiyo chanzo kikuu cha kansa za aina mbalimbali. Wanasema ukilala chini ya masaa matano immune system yako inapunguza ufanisi wake wa kufanya kazi kwa asilimia 70%. Na tayari katika nchi nyingi hasa huko kwa wenzetu watu wanaofanya kazi za usiku wakiwemo walinzi, wauguzi, madaktari na wengineo wanatambuliwa kuwa wanafanya kazi hatarishi kwa afya na wanalipwa posho maalumu pamoja na kuhimizwa sana kulala kila wanapopata nafasi.
Mabaharia wameshachomolewa betri [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]Vigezo na mashartiView attachment 1203077
Haya mengine mateso sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Fundi maiko ni NomaView attachment 1203126
Ndiyo uzuri wa uzi wetu huu kamanda. Kila mtu ana umuhimu wake kama anavyosemaga jirani yetu mpendwa.Hapa umeniongezea kitu kamanda
Maslei kwini wakienda vijijini bibi zetu huwa wanapata taabu [emoji16][emoji16][emoji16]Dam dam na bibiView attachment 1203113