Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko huo ndiyo ukweli.
Uwepo wetu hapa Duniani umekuja baada mamilioni ya wenzetu waliopita kutuachia nafasi hii.
Patamu sana hapa, lakini hakuna namna, muda ukifika ni lazima uinuke mwingine akalie nafasi yako.
Inafikirisha sana
Hii kauli inaumiza sana. Yaani mimi ipo siku macho yatafumba, hayataona tena mema ya hapa duniani!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aloooo!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anney Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…