carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]bado kidogoHeheheh! Tayari, vipi na wewe usharudishiwa uhuru wako?
#maishayanaendakasisana#Mmmmh wote wale wale
#nywilampakaruhusa
Nimerudi shemejiMarahaba shemeji...
Ndo umerudi kimoja au unapita tu kama ilivyo kawaida yako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Shwaini zako... Umenifanya nianze kuizuum ile picha pande zote ili nijiridhishe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huko kwema?
Karibu sana...ila achana na mambo ya TRMNimerudi shemeji
Pambania upate freedom yako ukishindwa wanaharakati tutaingilia kati na #hash tag[emoji23][emoji23][emoji23]bado kidogo