Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wanasoka hao ni washindi wa tuzo za Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon d’Or) mara tano kila mmoja, wamekuwa kwenye viwango bora kwa zaidi ya misimu 10 ya uchezaji wao wa soka la ushindani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ushapewa nywila eeh?Upendo mwingi kwenu ndugu zanguni humu ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Kweli kuna mapacha wasio juana,lisingekuwa hilo shati mzaramo ningemvunja viguu vyake kwa kuisambaza picha(sura ya mbuzi,kichwa tofari) bila idhini yangu [emoji3][emoji3][emoji3]
#mwanaumeshughulisurazipoInstagram
#mwanamkehatetemikwasurailakwaparachichinenerefulililopindambele.
Imagine. No misambwanda evaa. No konokono. Parachichi nene refu lililopinda kwa mbele linakuwa yuzilesi linaliwa tu na mafunza. Kimyaaa tena aloni chini ya ardhi. Ukifikiria sana haya mambo mpaka unamkumbuka hata Kiranga yaani. Ni kweli hakukuwa na njia nyingine ya kuyatengeneza haya maisha yakawa kivingine? Yote haya ni kwa sababu tu maboya wawili waliodanganywa mpaka wakadanganyana wakala tunda lililokatazwa? Ngumu kumesa yaani ila basi ndo hivyo hakuna la kufanya [emoji36][emoji36][emoji36][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hii kauli inaumiza sana. Yaani mimi ipo siku macho yatafumba, hayataona tena mema ya hapa duniani!
Heheheh! Tayari, vipi na wewe usharudishiwa uhuru wako?Ushapewa nywila eeh?
👍👍Mbali na jezi namba 10, tujikite kwenye namba saba kwa kuangalia wachezaji ambao wameiletea heshima namba hiyo kwenye klabu zao, akiwemo Ronaldo tangu akiwa Manchester United ya England hadi alipotua Real Madrid ya Hispania na sasa Juventus.
[emoji23][emoji23][emoji23]I remember when my mom slapped me because I was crying because she slapped me
Hebu nikumbushe ile ishu ya Madilu Systeme nifanye makalikyuleisheni hapa. Kalikyuleta ninayo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utoto sometimes unaonewa tu yaani [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]