Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani ndio forum uki comment au ku write hata ujinga ujinga unakula like za maana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie watu wenye akili sana mkijaga huku kwa wajinga wajinga na kuwakumbusha juu ya ujinga ujinga wao wakati nyie wala siyo wajinga wajinga huwa mnanifurahisha sana na hata kunisikitisha kwa kutokuwa wajinga wajinga. Kula likes mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…