Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha duh mmeniamlia
Yummy keki
Hahahaha duh mmeniamlia
Mdogo sana.No 35 aisee una mguu mdogo
hahahahahaaNani huyo anaekuponza mzee?
Sedimentary rocks formation...
Kwema The Don, Shikamoo...![emoji38]Jiniazi yule. Alivyoelezea tofauti ya wedding na welding hata Aristoto asingeweza...
Kwema lakini TH?
Asante Mama, ndo nakuja hivyo hvyo hata kama kimekuwa kiporo[emoji6]13:02
Karibu kula dear The Happiness
Mtunza kumbukumbu hapa ni mimi. Depal rusha hiyo picha kwangu halafu nitaiediti na kuiweka hapa...[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha[emoji1][emoji1]
Aaa wapi! Uchuro wa binadamu tu. Sala za wafu mai futi. Yaani wewe uishi maisha ya hovyo ya kibaharia halafu ufe watu ndiyo wakuombee uende mbinguni? Thubutuuu!!!Watakuombea, eti wanadai hivyo