Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafurahi kwa kuwa TRM ishakufa rasmi vinginevyo ungesikia tu maneno maneno yasiyo na kichwa wala miguu [emoji16][emoji16]
[emoji1]
FB_IMG_1568177783676.jpeg
 
Hahahaha yule baharia shuain zake kabisa. Yaan ka elfu saba tu na bado analalamika hajibiwi PM
Unajua hiyo 7,800 aliipataje? Halafu inaliwa na mganga wa kienyeji aliyevaa sweta la Tanzania tu kizembe? Baharia ana pointi japo naye alizidi hasa ukizingatia kuwa tayari alikuwa keshapiga kimdabuo...
 
Sana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini [emoji3][emoji3][emoji2088][emoji2088]
Sis bana. Wacha hizo. Watoto wa 1995+ nyinyi [emoji16][emoji16][emoji16].

Enzi zetu unarudi likizo wanakijiji wanakuja kukuangalia. Mademu wote kijijini unajichagulia tu yaani hakuna hata kutongoza...
 
Back
Top Bottom