Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tokea jina wameshikwa na tumbo la kuharisha.
jamaa anaitafuta rekodi ya magoli 100 ndipo astaafu timu ya taifa.
mbuzi wao hata magoli 70 hajafika.
Hahahahhaa eti mbuzi uwiiii kale kajamaa kanaiogopa sana jezi ya taifa,mashabiki wake huwa wanaona ni heri kumcheki CR7 ndani ya ureno kuliko Messi ndani ya argentina
 
Hahahahhaa eti mbuzi uwiiii kale kajamaa kanaiogopa sana jezi ya taifa,mashabiki wake huwa wanaona ni heri kumcheki CR7 ndani ya ureno kuliko Messi ndani ya argentina
mbuzi yule na mashabiki wake wamejaa visingizio

mara nyengine majani makavu
mara uwanja hauna oxygen ya kutosha
mara wenzake wanamdhulumu majani
 
FB_IMG_1568179421931.jpeg
 
Back
Top Bottom