Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nape ameandika meseji nyingi tu za kuomba msamaha. Nyingine anaandikaga saa 8 usiku na unamuona kabisa huyu mtu anaomba msamaha. Amejaribu kwenda kwa Mzee Mangula, mzee Apson, Mama Nyerere, yani amehangaika kweli. Yote hiyo ni katika kuomba msamaha. Sasa leo amekuja hapa na ameniomba msahama, amewataja pia watu waliokua wanamhubiri (i.e wanamsukuma) kufanya hayo aliyokuwa akifanya. Wengine wapo kwenye chama, lakini mimi nimesamehe.

'' Rais John Pombe Magufuli, 10/09/2019, Ikulu, Dar es Salaam.!
 
Cristiano Ronaldo has now scored 93 international goals
He has now scored against 40 different nations.

⚽ Cristiano Ronaldo | 7'
⚽ Cristiano Ronaldo | 61'
⚽ Cristiano Ronaldo | 65'
⚽ Cristiano Ronaldo | 76'

happy birthday Numbisa
tunaomba cheti chako kabla team madevu ya osama bin laden hawajatoka msalani, tokea jana wanaharisha kama wino wa ngisi.
1568188631061.png
 
View attachment 1204207
G.O.A.T orijino huyu ndani ya jezi yoyote anafunga tu

Mama kasema cheti alifungia maandazi enzi hizo kulikua na uhaba wa karatasi. Kule rita wanapiga dana dana nielewane na nida kwanza wakati mie sijui bibi yangu mzaa babu alizaliwa wapi wala cheti chake kilipo
 
Cristiano Ronaldo has now scored 93 international goals
He has now scored against 40 different nations.

⚽ Cristiano Ronaldo | 7'
⚽ Cristiano Ronaldo | 61'
⚽ Cristiano Ronaldo | 65'
⚽ Cristiano Ronaldo | 76'

happy birthday Numbisa
tunaomba cheti chako kabla team madevu ya osama bin laden hawajatoka msalani, tokea jana wanaharisha kama wino wa ngisi.
View attachment 1204207
Davet Cole Williams habari mnayo ndugu zangu
 
Siku volkano ilipoanza kulipuka hakukuwa na aliyebaki salama. Si waliokuwa sahihi wala walioita wenzao wehu. Wote waliangamia. Jamii ya Pompeii iliteketea kwa sababu haikuheshimu misingi ya maarifa kwa wenye kujua, badala yake iliendekeza hisia, tumbo na kujipendekeza kutatua matatizo yao, hivyo ilikumbwa na adhabu ya asili.!
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
mabaharia wengi akili zao zinafanana na kuku.
wazee wa kusahau matukio kwa sekunde moja
Kuna baharia mmoja mzee wa kashfa alijilipua na mapicha tele yakamwagwa nae akalipiza kwa kumwaga mapicha ya adui kisha akasahau aiseee hadi kaikimbia ID yake. Kajitahidi weee kuonyesha ungangari ila kashindwa,nowdays mpole
 
Back
Top Bottom