Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tezi aina ya pili ni za aina ya appocrine ambazo ndizo huzalisha jasho linalotoa harufu. jasho hili linavyotengenezwa na mwili huwa na mafuta mafuta na linapokutana na bakteria ambao wako juu ya mwili wa binadamu ndipo harufu mbaya inapotokea.
 
Pua ndio kiungo nyeti zaidi kwenye mwili wa binadamu

Wanasayansi wa chuo kikuu cha Rockefeller na Taasisi ya tiba ya the howard hugges wamegundua kuwa binadamu anaweza kutofautisha takriban harufu trilioni moja.

Pia wanasayansi hawa wameeleza kuwa wanawake hunusa haraka zaidi kuliko wanaume.
 
ubongo wa binadamu hauhisi maumivu

Ukijichoma au kujikata na kitu chenye ncha kali lazima utasikia maumivu muda huo huo, hii ni kwasababu ubongo kupitia uti wa mgongo huujulisha mwili kuwa umeumia. Hii haina maana kwamba ni ubongo ndio umeumia.

Na hii ni kwasababu ubongo hauna vipokezi vya maumivu, kichwa kikikuuma sio kwamba ubongo ndio unauma bali ni utando wa kinga yaani protective membrane ambao umezunguka ubongo.

Kuumwa kwa kichwa kunasababishwa na kemikali inayotolewa na ubongo ambayo huamsha vipokezi vya maumivu na ndipo hufanya kichwa kuuma.
 
ukuaji wa nywele

Wataalamu wanaeleza kuwa binadamu wa kawaida huwa na matundu ya nywele 100,000 na kila moja huweza kuotesha nywele 20 katika kipindi chote cha maisha ya mtu.

Nywele huoza kwa kiwango kidogo sana, lakini pia seli za nywele ndizo seli zinazokuwa haraka zaidi na kushika namba mbili baada ya seli za utumbo ambazo ndizo za kwanza.
 
kwenye siasa hakuna msamaha wa bure, tusisahau rafiki wa karibu wa bwana yule ni weri na gamee
kama bwana yule atahitaji kuongeza muhula wa utawala wake wale wote waliompigia magoti hakuna atakayethubutu kumnyooshea tena kidole.
watapewa madaraka wanayoyatamani
watanyimwa uhuru wa kutenda walipendalo.

handsome boy
hajasoma siasa lakini ndiye mwanadamu anayejua kucheza na wanasiasa pamoja na walalahoi.
miaka 15 loading.............

1568186181178.png
 
Back
Top Bottom