moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako [emoji16][emoji16]!!!Jf bhana sasa hizi likes zina kazi gani ? Au badae zitakuja kuwa coins ??
Tiba ya nini hii?
Calories kibao hapa ila faida lukuki...
Potassium kibao. Kinga nzuri kwa magonjwa ya moyo. Pata angalau moja kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi hata sitafuataWewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako [emoji16][emoji16]!!!
Bro habari ya mchana [emoji3][emoji3]Calories kibao hapa ila faida lukuki...
Juisi ya parachichi nene refu lililopinda kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hili tunda gani eti