Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Miye sijambo Khantwe. Kwema huko kwako? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545]Bro habari ya mchana [emoji3][emoji3]
We sis jasiri sana. Hukiimbii kitu wallahi. Kwema lakini?
Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako [emoji16][emoji16]!!!
👍 👍Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako [emoji16][emoji16]!!!
Tiba ya nini hii?
😃😃Calories kibao hapa ila faida lukuki...
Juisi ya parachichi nene refu lililopinda kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Vile uko chumbani unalia na hutaki watu wa nje wasikie.
[emoji2][emoji2]