Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190912-WA0016.jpeg
 
Kwako sis sina wasiwasi. Hata uwe bilionea hutabadilika na kuhama uzi wetu unaodharauliwa karibu na kila mtu hapa JF kwenda Jamii Intelligence.
unadhani atapata muda wa kuja kumtembelea babu shimba ya buyenze na furushi la tumbaku pindi atakopopata mamilioni?
aigooo labda mwaka mara moja.​
 
Back
Top Bottom