Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Huyo ndio jinamizi ?Jamaa wanafaidi kwa namna moja ama nyingine, ili kama lamombasa mbona siliewi, lisije kata gogo ohoooView attachment 1207106
Shida ya mabinti wa humu sijui wakoje. Kila mmoja anadai ni kimbaumbau halafu hawana misambwanda. Uwongo mtupu.Sio Hawachi huyo.
Laiti mngelijua muonekano wake......
Naishia hapa, nikisema sana SYB atapata taabu saana[emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
#Mimmojawao
#Teamtokomezamawigi
Soft drinks ni zipi? Soda na majuisi ama? Yaani niache hard drinks ndo nihamie kwenye soft drinks? Huo si umama wa hali ya juu? Ukiamua kuacha mawhisky, maspirits na mengineyo basi ni afadhali ufokasi kwenye maji tu. Na chai [emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kuniambia we hunywi hata soft drinks [emoji3]
hili tangazo ameliandaa mjukuu wako?
"You cannot replace hard work with prayer"
Wasukuma utawaweza basi? Angalia tu hata kiingilio [emoji16][emoji16][emoji16]
dah kumbe 1,000Wasukuma utawaweza basi? Angalia tu hata kiingilio [emoji16][emoji16][emoji16]
Nywele asilia. Unapitisha vidole. Unazikuna. Unazichezea. Unamsifia. "Baby napenda sana nywele zako. Ni laini halafu zinang'ara. Nitafurahi wanangu wakiwa na nywele kama zako. Wikendi hii nataka ukasuke ule msuko wa Shogun Shonshing. Hizi ukizifumua naomba nikusaidie kuziosha..."Kwahiyo Nywele + Msambwa == Mbwa akiona chatu.
#hahahahhhahah
#jizazi
Hili kabila ni shida. Hata elfu moja haiandikwi hivyo [emoji16][emoji16]dah kumbe 1,000
teh teh teh teh wasukuma oyeeeee
😂😂 kwaiyo makalio ya paka ndio yako na errors?
Na kina sie tunaonyoa 😂😂😂Nywele asilia. Unapitisha vidole. Unazikuna. Unazichezea. Unamsifia. "Baby napenda sana nywele zako. Ni laini halafu zinang'ara. Nitafurahi wanangu wakiwa na nywele kama zako. Wikendi hii nataka ukasuke ule msuko wa Shogun Shonshing. Hizi ukizifumua naomba nikusaidie kuziosha..."
Sasa wigi utalisifiaje? Labda umuulize tu laivu..."Vipi, wigi linakuwasha?" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kwaiyo siku nikikualika dinner utakunywa mimaji tu? Kuna vingi vya kunywa ukitoa liquor drinksSoft drinks ni zipi? Soda na majuisi ama? Yaani niache hard drinks ndo nihamie kwenye soft drinks? Huo si umama wa hali ya juu? Ukiamua kuacha mawhisky, maspirits na mengineyo basi ni afadhali ufokasi kwenye maji tu. Na chai [emoji16][emoji16][emoji16]
Unanyoaga upara? Kila sehemu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Na kina sie tunaonyoa [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂 juu siwezi kunyoa kipara asee ( kuna short hair/ AfroUnanyoaga upara? Kila sehemu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hiyo inaproject confidence na independence. Na ni bora mara gazillion kuliko wigi
Siku hiyo tutaona. Shida ya soft drinks nyingi ni misukari yao. Ila kama ni romantic evening basi tutaona. Si ajabu nikavunja mwiko na kaglasi kamoja ka mvinyo mweupe ghali [emoji16][emoji16]Kwaiyo siku nikikualika dinner utakunywa mimaji tu? Kuna vingi vya kunywa ukitoa liquor drinks
Umekwepa mtego wangu eeeh?[emoji23][emoji23] juu siwezi kunyoa kipara asee ( kuna short hair/ Afro
Huko kwingine.....[emoji124][emoji124]
Ina maana tunafungwa leo?